plz plz naomba msaada kwa wale watalamu wa hili

plz plz naomba msaada kwa wale watalamu wa hili

inawezekana hata mwanzoni hakua bikra mana mpaka sasa anatoa damu tuuuuuuu..
:focus: nakushauri muende nyote wawili mukamuone dokta kwa vipimo zaidi ili mujue tatizo liko wapi labda unamuumiza mtoto wawatu huko ndani je? au ana matatizo yake binafsi yote hayo mutayajulia huko medical
 
Kwanza kabisa kabla ya yote uume wako ni size gani kwa urefu na upana? Inawezekana uume wako ndio unaomuumiza.
 
:suspicious:Kwani bikira ya kichina inaacha kutoa damu baada ya miezi mingapi?
Jokes aside, nendeni hospitali aisee, usikute ana tatizo. Hata kama upungufu ni wa maandalizi haipaswi kuwa hivyo.
 
We unataka usaidiwe nini?
Unafanya zinaa na kibinti cha watu? Muogope mungu kwa uchafu wa zinaa!
Ukimwi,kaswende nk vinakunyemelea watch out!
Ushauri wangu kwako fuata utaratibu unaokubalika na uende mukamuone doctor kwa hilo!.

Amina kaka. Kizazi hiki cha nyoka kizazi cha nne kilicholaaniwa kizazi cha zinaa kimeifanya zinaa sehemu ya maisha yao bila hata woga au kuogopa ghathabu ya Mungu. Nenda katubu kijana na uache uzinzi.
 
Back
Top Bottom