Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sitaki kuamini kwamba Uchapa kazi wako ulitokana na Msukumo wa Hayati JPM .
Sitaki Kuamini kwamba wale wanaosema wewe sio kiongozi sahihi, wako sahihi.
Sitaki kuamini kwamba na wewe ni sehemu ya ile timu Upigaji .
Sitaki kuamini kwamba, ni haki hadi wakurugenzi wanakudharau, hivi Makonda anapata nguvu ya kuwaenyesha hawa majizi kukushinda wewe Waziri Mkuu?.
Dotto, Naibu wako anafanya kazi, kweli Naibu naye anakusomesha namba?.
Mimi ni Mfuasi wako wa damudamu , ila tafadhali sana, mwaka mmoja na miezi ilobaki, fanya kitu tukukumbuke.