Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Huyo unayemshushia lawama yupo wapi kwa sasa ?Sitaki kuamin kwamba Uchapa kazi wako ulitokana na Msukumo wa Hayati JPM .
Sitaki Kuamin kwamba wale wanaosema wewe sio kiongozi sahihi, wako sahihi.
Sitaki kuamini kwamba Nawewe ni sehem ya ile timu Upigaji .
Sitaki kuamini kwamba , ni haki Hadi wakurugenzi wanakudharau,, Hivi Makonda anapata nguvu ya Kuwaenyesha Hawa majizi, kukushinda wewe Waziri Mkuu??.
Dotto, Naibu wako ,anafanya kazi, kweli Naibu naye anakusomesha namba?.
Mimi ni Mfuasi wako wa damudamu , ila tafadhali sana, Mwaka Mmoja na miezi ilobaki, Fanya kitu tukukumbuke.
Kampuni gani mkuuHuyooo naye n fisadi sana sema ana play very bright....kuna mkoa npo kuna kampan mojaa kubwa sana....amempa mwanazengo ila n yake huyoo katelephone....
Usikariri Maisha Kuna Muda Kobe Huinamisha Kichwa KulaUkimuona Kobe kainamisha kichwa ujue anatunga sheria
Siwez kuitaja mkuu...ila uhakika 100% maana boss bandia n jamaa angu kabsa ...na ndio alinisanua .....ila kionjo n kampuni ya logisticsKampuni gani mkuu
Hahaha sawa mkuuSiwez kuitaja mkuu...ila uhakika 100% maana boss bandia n jamaa angu kabsa ...na ndio alinisanua .....ila kionjo n kampuni ya logistics
Huenda, ila Sina hakikaUkimuona Kobe kainamisha kichwa ujue anatunga sheria
Mzee anazengua...hafai, aachie ngaziMwacheni Mzee bahnaa amebakiza miaka miwil astaafu
Kuna nn?.Subiria December ifike
Holiday's month, mwezi wa kupumzishanaKuna nn?.