PM Mwigulu, achana na pety issues, trillions zinaibiwa na wenzako...eg sare za polisi saga etc, etc achana na vidagaa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Waziri Mkuu, Dk.Lameck Nchemba ameagiza kubadilishwa matumizi ya fedha za vinywaji, kalenda, sherehe na zawadi kisha zielekezwe kwenye miradi iliyokwama ili kuongeza mapato ya wananchi.

My observation; Ufisadi uliokithiri kwa was kubwa serikalini anauacha anakuja kikimbizana na bidagaa!
 
FACT...
 
Back
Top Bottom