PM yangu ina shida gani?

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,701
Habari enu wakuu,

Ati PM yangu ina shida gani mbona haipokei message toka kwa wadada wa JF?

Mods et PM yang mmefunga isipokee PM za wadada? Angalieni tatzo liko wapi mrekebishe

Wadada embu nichekini PM nione kama meseji zenu zitafika ili nijue kama tatzo limetatulika
 
Hahahaaa. Mie njia ya kuja huko PM nilishaisahau sababu nimepita kitambo mnoo Mkuu.

Mie mawazo yangu fuata kile alichokwambia bbade kwenye Post no #02
Hehe hilo wazo emb ngoja nilifanyie kazi
 
Duuh! Mie njia ya kuja huko PM nilishaisahau sababu nimepita kitambo mnoo Mkuu.

Mie mawazo yangu fuata kile alichokwambia bbade kwenye Post no #02
Mkuu nimejaribu kwako ila nahis PM yang imezidisha matatizo, inaniletea msg: You may not start convo with Hajar
 
Mkuu mi naanzaga na kuomba namba na msg inayofuata namthibitishia,yaani 5GHKI4 Imethibitishwa Tsh..imetumwa kwa ...then kinachofuata ni msg tu zinakimbizana,pm kunawaka motoo
[emoji2] inaonekana hujachangia kodi za kununua dreamliner wewe
 
Mkuu nimejaribu kwako ila nahis PM yang imezidisha matatizo, inaniletea msg: You may not start convo with Hajar
Hahahaaa. Lol.

Mie yangu nimeifunga ndio sababu Mkuu. Jaribu kwa ambao zao ziko wazi.
 
Hahahaaa. Lol.

Mie yangu nimeifunga ndio sababu Mkuu. Jaribu kwa ambao zao ziko wazi.
Fungua nijaribie kwako. Ina nini mbaka umeitia komeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…