xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Habari enu wakuu,
Ati PM yangu ina shida gani mbona haipokei message toka kwa wadada wa JF?
Mods et PM yang mmefunga isipokee PM za wadada? Angalieni tatzo liko wapi mrekebishe
Wadada embu nichekini PM nione kama meseji zenu zitafika ili nijue kama tatzo limetatulika