Nishafanya haifikiFuata ushauri hapo Juu..
Hahahaa. Lol.Mkuu mi naanzaga na kuomba namba na msg inayofuata namthibitishia,yaani 5GHKI4 Imethibitishwa Tsh..imetumwa kwa ...then kinachofuata ni msg tu zinakimbizana,pm kunawaka motoo
Hahaha,nazingua tu dada!Hahahaa. Lol.
Uko vizuri Kaka.
Nishafanya haifiki
Dah bora umekuja bibie tutafte ufumbuzi wa hili swala... Haya embu niPM tuone kama yaliyomo yamo
nitume wapi sasa? milango yote imefungwaItabidi utume maombi ufunguliwe
nitume wapi sasa? milango yote imefungwa
kumbe tupo wengi na unawaita wenzangu.... wacha nikae tu hapa nje.Uko mlango upi nije kukufungulia? maana wenzako wameshafika
kumbe tupo wengi na unawaita wenzangu.... wacha nikae tu hapa nje.
wewe mwenyewe hauna nia ya kunisaidia ungeanza wewe kuanza ili nione.Utakuwa huna NIA,
wewe mwenyewe hauna nia ya kunisaidia ungeanza wewe kuanza ili nione.
You make sense by chance.Nishakuambia Gonga nijue uko mlango upi nije kufungua.....unajali waliokuwemo...haya nishawafukuza....njoo nakusubiria.
You make sense by chance.
tulishaelewana sema umenizungusha tu unichoshe.... [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haswa naona tushaelewana....nisije kuwa nimeanzisha VITA. Njoo tu make sense pamoja.
tulishaelewana sema umenizungusha tu unichoshe.... [emoji125] [emoji125] [emoji125]