PM yangu ina shida gani?

PM yangu ina shida gani?

wewe mwenyewe hauna nia ya kunisaidia ungeanza wewe kuanza ili nione.

Nishakuambia Gonga nijue uko mlango upi nije kufungua.....unajali waliokuwemo...haya nishawafukuza....njoo nakusubiria.
 
Haswa naona tushaelewana....nisije kuwa nimeanzisha VITA. Njoo tu make sense pamoja.
tulishaelewana sema umenizungusha tu unichoshe.... [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
tulishaelewana sema umenizungusha tu unichoshe.... [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Nimetambua unakatabia ka kunizungusha....bado sijakusoma lengo lako? Nitakuanzishia Uzi ujue?
 
Back
Top Bottom