na wasipotongozwa wanakimbilia kwa kalumanzira kusafishwa nyotawanawake bwana..kwa hiyo mnachukia kutongozwa?
Watakuwa wamekuelewaukiona unaletewa pm nyingi, kaa chini ujitafakari vizuri. huenda tatizo ni wewe na mada unazo post.
bidhaa za bei rahisi ndio zina wateja wengi......
Galatia bwana unachekesha kweli..kwani hata waoaji huwa wanataka nini at first place kama siyo K?Hakuna muoaji wote wababaishaji shida yao k tu
Hapa kuna hojaGalatia bwana unachekesha kweli..kwani hata waoaji huwa wanataka nini at first place kama siyo K?
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
HahahaHii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.