Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
Tatizo lipo kwako na kwa hao wenzako angalia mada zako unazotuma isije zikawa zinawachochea watongozaji
 
"...Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu."

Hapo sawa, ungesema wote ningekushangaa kweli aseeh
 
Tena ulimbukeni ....

We utatangazaje public eti mtu aliyekutongoza PM ? Kwani kutongozwa ajabu?

Ukiona mwanamke wa hivyo ujue anatokewa kwa manati ( Mara moja kwa miaka 3)

Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahaa....mkuu heshima yako aise. Inaonekana ni mwanamke uliye stable sana na hubabaishwi kijingajinga.

JF tunataka watu kama nyie mnaojielewa aise

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dont generalize mkuu. Wengine tunajitambua

Jesus is my saviour and a friend

Sio wote sawa nakubali

Ila nachoshangaa badala ya kumuelewesheni huyo mwenzenu mnabaki kutunanga...

sasa utaki kutongozwa si mkae nyinyi wenyewe wala hamtatongozwa ... ila kinachowasumbua mnapenda tuwasaidie kwenye shida zenu as if na sisi hatutaki msaada wenu. Basi muwe kama wanaume i.e tafuteni pesa kama sisi, tatueni changamoto zenu wenyewe msitushirikishe, na msitutegee ata kwa msaada wowote hapo ata mtongozo tutaogopa
 
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanawake bana sijui mnataka nn, mkiwa hamtongozwi mnalalamika ooh mm sitongozwi sijui ninagundu gani, ukitongozwa unaanza tena kulalamika ooh wanaume wapo kwa ajili ya k, hebu eleza unataka nn sasa, sema sasa hivi
 
Pole sana... Unajua kwa nini... Kwa sababu JF siyo ya wanawake peke yuenu... Kuna wanawake na wanaume ndiyo maana...

Unajua kwamba hata kuna wanawake wanaotongoza pm...

I'm speaking from experience... Ni vile rules/regulations za JF haziruhusu mambo ya PM kuhamia kwenye majukwaa...

Cc: mahondaw
 
Kwani ktongozwa ni dhambi?unatongozwa ili
1.uolewe
2.umegwe
3.umegwe then uolewe..
Kama hutaki hautabakwa...wala kunyofoka kiungo...
So usiogope kutongozwa

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
  • Samahani lakini hivi maana ya PM kwa hapa jf huwa ni nini ? Huenda kuna utamu huko alfu mie pekee ndo sijui
 
Sio wote sawa nakubali

Ila nachoshangaa badala ya kumuelewesheni huyo mwenzenu mnabaki kutunanga...

sasa utaki kutongozwa si mkae nyinyi wenyewe wala hamtatongozwa ... ila kinachowasumbua mnapenda tuwasaidie kwenye shida zenu as if na sisi hatutaki msaada wenu. Basi muwe kama wanaume i.e tafuteni pesa kama sisi, tatueni changamoto zenu wenyewe msitushirikishe, na msitutegee ata kwa msaada wowote hapo ata mtongozo tutaogopa
Kusema ukweli mm sijawah pinga mtongozo.

Loooh it is there for us y nipinge. Ni mm tu kujua kusema yes au noop. Afterall am not a kid so I know what to answer to any mtongozo which come across my way

Jesus is my saviour and a friend
 
Ila kutongoza au kutongozwa sio dhambi. Ni haki ya mtongozwa kusema yes au no mambo ingine inafuatwa

OVA

Jesus is my saviour and a friend
Mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida sana na inashangaza mtoa mada kuona ni kitu cha ajabu
 
Back
Top Bottom