Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli mchungu. Subiri uone wantakavyo panic

Mi PM wananifwata wao wadada. Sina shobo na mtu

Kwanza kwa usawa huu wa Anko. Sitaki mademu
 
Mnalalamika hakuna wanaume waoaji, sasa mtaolewa vipi kama hamtaki kutongozwa.
 
umeona eeh.. alafu wengine wanakua washamba sana, sasa mwanamke umetongozwa inbox unakuja kututangazia huku ili iweje. as if ndio mara ya kwanza kutongozwa...
kweli man nimeanza kuamini hanawake hawaelewekagi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…