Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

haiba ya mwanamke ni kutongozwa
sasa ablock ili iweje???
pia pm kuna vitu vingi tu vya kuongea ukiacha kutongozana

Post sent using JamiiForums mobile app
Najua. Ila yeye hataki kutongozwa.
 
Ngoja ni MP huyu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu ana sababu za kuwepo hapa, sio kila mtu yupo hapa ili aingie huko pm kutongoza wanawake. Lakini pia, kama mtu kaamua kuja pm sio dhambi, just be nice to him, kama haupo interested mwambie humbly na hutoona akikusumbua.
Tena wanaume wengi wa JF wale wanaojielewa huwa ni wasikivu sana.

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom