Are u serious ww kama mwanamke mwenzangu unaongea haya?
Ndio maana basii...nshaelewa sio kosa lako
Asante
Kwani hii thread ni malalamiko au ni story sharing kwamba watu wamekupm?
Kama ni story sharing basi poa ila kama ni malalamiko sio sawa make utakua haueleweki sasa
Na Hufai! hata siri za chumbani utamwaga hadharani.
Hivi mfano ukireread unaweza ona lalamiko hapo..au its just ur negative thoughts..mbona mnapenda kukwaza watu bila sababu..this is just a social media for some refreshments nimeandika thread yangu kwenye mood nzuri,happy with a lil bit of teasing mtu anakurupuka na kuharibu mood yako kwa negative comments. .pipo get over urselves plz