PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.

Dada lilymashy do u really know the meaning of privacy.
 
Mpaka hapa inaonyesha wewe bado sana!! HUJUI KUTUNZA SIRI, na kwa mwanamke tena wa kiafrika hii ni weaknes kubwa sana. Nawapa pole sana waliokuPM.

Hv huaga hata kutafuta hela upo serious hivi..maana naona kama u things soo serious hasa bila kuzingatia ni social media kucheka na kutania inaruhusiwa..too much seriousness is harmfull enjoy yo weekend...
 
Fanya kama umekwenda widow shopping angalia anaefaa baadae mtumie sms mwangalie anafaa au hafai kama hafai muangalie sencond choice yako. ikiwa wote hawafai basi undelea kutafuta atakae kufaa. Hii ni Jamiiforum kuna jamii za watu tofauti usichukulie kila kitu serious. Jana wengi ya watu akili zao zilikuwa kwenye Kilimanjaro Lager.

nimekupata at least umenifunua akili maana nimejiuliza sana hizi vichwa mbona kama zimepata cheche hvi..kumbe sababu ni hyo hahhahaha nafunga mdomo wangu basi maana nilikua nna mood ya kujibu watu sana leo.thank u
 
Teh kupata pm raha ha ha ha nicheke mie

Nilivyoiona story yake jana alinikumbusha cousin yangu mwaka jana aliandika kwenye Whatsaap status 2015 ataolewa tu mpaka leo hata mchumba hajapata nataka nimtanie cousin yangu ila mizuka ya wanawake si mnajijua. Mara atapandisha kama Lilmashy
 
Afu leo nna mzuka wa kujibu watu acha tuu...aisee afu tatizo nilijisahaulisha kumbe hii ni forum ya different pipoz...so najichosha hasa kuanza kumfundisha mtu jinsi ya kusoma na kuelewa kua thread imeandikwa kwenye status ipi,utani?,seriousness?,au mood ipi..asa mtu kama ww sijui hata nikujibuje maana nahisi ukiendelea kutake things so serious hvi itakucost..sema nn negative thoughts an comments pia zinaruhusiwa unajuaga ni hizo ni challenges eeeeh...enjoy ur weekend
 
nimekupata at least umenifunua akili maana nimejiuliza sana hizi vichwa mbona kama zimepata cheche hvi..kumbe sababu ni hyo hahhahaha nafunga mdomo wangu basi maana nilikua nna mood ya kujibu watu sana leo.thank u

You are welcome.
 
ulikua unafanyia watu testing? akija mwenye shida kwl huoni utakua umembania?
 
Unafanya promo au?duh maisha yako kasi na hizi social networks zinatufanya tuwe wehu,izi pm haziji tu kama haukuonyesha kuziomba kama vipi ungevunga nazo niwape pole waliojichanganya kutuma hizo pm.
Wanawake walikua mabingwa wa kutunza siri sasa wewe pm tu umekuja mbio na thread juu kwiiiiii kwiiiiiii na umu JF vidume wenzangu mnaniangusha.
 
Nilivyoiona story yake jana alinikumbusha cousin yangu mwaka jana aliandika kwenye Whatsaap status 2015 ataolewa tu mpaka leo hata mchumba hajapata nataka nimtanie cousin yangu ila mizuka ya wanawake si mnajijua. Mara atapandisha kama Lilmashy
Usimtanie bila shaka litaamuuma sana
 
Unafanya promo au?duh maisha yako kasi na hizi social networks zinatufanya tuwe wehu,izi pm haziji tu kama haukuonyesha kuziomba kama vipi ungevunga nazo niwape pole waliojichanganya kutuma hizo pm.
Wanawake walikua mabingwa wa kutunza siri sasa wewe pm tu umekuja mbio na thread juu kwiiiiii kwiiiiiii na umu JF vidume wenzangu mnaniangusha.

Nikutakie usiku mwema...umejipinda na comment nzuri..umetisha
 
Jameni umetaka Mungu akupe mme, umepata hiyo mvua ya baraka iliokuja na mafuriko ya wanaume tena unawaona mabazazi sa unatakaje? Unampa Mungu mitihani na lawama za bure tu
Hapo ndio utaamini kila binadamu ana chembe chembe za ukichaa...! Jf kuna vituko sana soon atawataja ...
 
Hivi mfano ukireread unaweza ona lalamiko hapo..au its just ur negative thoughts..mbona mnapenda kukwaza watu bila sababu..this is just a social media for some refreshments nimeandika thread yangu kwenye mood nzuri,happy with a lil bit of teasing mtu anakurupuka na kuharibu mood yako kwa negative comments. .pipo get over urselves plz
Punguza presha bado mapema pengine is teasing you too
 
Usimtanie bila shaka litaamuuma sana

Sina cha kukulipa ila natoa shukrani kwa kunikomalia sana leo na thread yangu naona umejitahid sana ku criticise...sema nini mi naomba uwe na moyo huo huo wa kukomalia pia kuzitafuta pesa trust me utakua millionaire in a short period.cheers
 
Back
Top Bottom