PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Hivi naskia kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume

Ngojea siku ukiwa serious unahitaji bwana ndo utajikuta mmke mwenzaa
 
Nimeamini kuwa Uongo ukiandikwa kwa kiingereza unakuwa ukwelii


Put that on English pls
 
Hv huaga hata kutafuta hela upo serious hivi..
That's who i am!
maana naona kama u things soo serious
Tuna lugha ya taifa, ukiitumia utaeleweka vizuri zaidi.
hasa bila kuzingatia ni social media kucheka na kutania inaruhusiwa
Inaruhusiwa katika mazingira gani? je hao ulio wa expose humu wakiona watajiskiaje? kuna umuhimu wa kutofautisha JF na FB, INSTAGRAM ...
too much seriousness is harmfull enjoy yo weekend
Si kweli. utani ukizidi kama wako ndio hamrmful. una uhuru wa kuongea ila si kila kitu unatakiwa kuropoka mbele za watu!!

Join Date : 28th November 2015
Posts : 94
Rep Power : 323
Likes Received
31
Likes Given
3

KARIBU SANA JF!!! NA UJUE UTANI WA FB HAURUSIWI HUMU!!
 
Zimeelekezwa Kwako Atoto

Acha kunidanganya wewe, mie tangu nijiunge jf sijawahi kupata pm hata moja, huyu dada kajiunga jana tu pm hadi anashindwa kusoma, watu wa jf sio wema kabisa!!
 
Sidhani kama ni kwa kufiria huko alipo si atatsja ndio maana ni vizuri kuendelea kytumia PM kwa muda umzoee mtu kabla ya kutoa jina la ukweli na namba ya simu hata anuani ya unapoishi.

Ila kuna kipengele humu ambacho mtu haruhusiwi kuja kuongelea na kuweka hadharani anacho andikiana na mwingine kwenye PM. Ukiona hiyo ripoti

Shukrani Kwa Ufafanuzi Mkuu, ngoja nikitafute hiko kipengele nikipitie vizuri
 
Acha kunidanganya wewe, mie tangu nijiunge jf sijawahi kupata pm hata moja, huyu dada kajiunga jana tu pm hadi anashindwa kusoma, watu wa jf sio wema kabisa!!

huyo dada sidhani hata kama kapata pm nyingi kama anavodai yeye! pia uwe unalianzisha wewe mwenyewe huko pm
 
hawa midume jike ndiyo inawaharibia wezao, au isikute ni mwanamke ila una pumu!!!
 
Lilymash ????? That's a hoes name if i ever heard one......na mimi natania
 
Back
Top Bottom