Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
That's who i am!Hv huaga hata kutafuta hela upo serious hivi..
Tuna lugha ya taifa, ukiitumia utaeleweka vizuri zaidi.maana naona kama u things soo serious
Inaruhusiwa katika mazingira gani? je hao ulio wa expose humu wakiona watajiskiaje? kuna umuhimu wa kutofautisha JF na FB, INSTAGRAM ...hasa bila kuzingatia ni social media kucheka na kutania inaruhusiwa
Si kweli. utani ukizidi kama wako ndio hamrmful. una uhuru wa kuongea ila si kila kitu unatakiwa kuropoka mbele za watu!!too much seriousness is harmfull enjoy yo weekend
Weeeh usiniambie! Hebu ninong'oneze basi.
Zimeelekezwa Kwako Atoto
Sidhani kama ni kwa kufiria huko alipo si atatsja ndio maana ni vizuri kuendelea kytumia PM kwa muda umzoee mtu kabla ya kutoa jina la ukweli na namba ya simu hata anuani ya unapoishi.
Ila kuna kipengele humu ambacho mtu haruhusiwi kuja kuongelea na kuweka hadharani anacho andikiana na mwingine kwenye PM. Ukiona hiyo ripoti
Acha kunidanganya wewe, mie tangu nijiunge jf sijawahi kupata pm hata moja, huyu dada kajiunga jana tu pm hadi anashindwa kusoma, watu wa jf sio wema kabisa!!
huyo dada sidhani hata kama kapata pm nyingi kama anavodai yeye! pia uwe unalianzisha wewe mwenyewe huko pm
Nijikute tu, na ukija nascreen shot natupia humu.
KilichokufurahishaNimefurahi ghafla!
Hoja na malumbanoKilichokufurahisha
hebu angalia vizuri huyu atakuwa mhusika anajihisi....Duuuh umekula nn leo usiku kwani? Unajua sikuelew hahaahaha