PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Brenda am very ready tena more than serious. .ila usisome comments zikakuchanganya..my thread is ok i wrote it just for fun..ila pipoz wameexagurate mpaka imeonekana kama big ishu..like seriously watu wangap wanataniana humu an it is ok with them sema sababu nimeandika abt pm imekua shida...maombi yangu yapo pale and nitafanikiwa as Gods will

Shida u seem to take unserious things seriously, en if u wrote jus for fun mbona u hav panic responses kwa comments nyingi! Au ndo hukujiandaa wakati unajipanga kuleta hii thread.
 
Brenda am very ready tena more than serious. .ila usisome comments zikakuchanganya..my thread is ok i wrote it just for fun..ila pipoz wameexagurate mpaka imeonekana kama big ishu..like seriously watu wangap wanataniana humu an it is ok with them sema sababu nimeandika abt pm imekua shida...maombi yangu yapo pale and nitafanikiwa as Gods will
Kuna fungu kwenye biblia kitabu cha mithali silikumbuki
vizuri but huwa linasema heri kwa yule anyamazaye na kusikiliza kuliko yule aongeae bila kupumzika. its simple and clear ukipenda kusikia sana its easy for u to understand either ur right or wrong. mathayo lipo fungu linasema si kila kiingiacho humtia mtu unajisi bali kila kitokacho.wengi hufikiri yesu alikusudia mambo ya vyakula. but dhumuni ilikuwa ni kauli zetu. sio kila utakachokisikia kitakubadilisha maisha yako kiwe chema au kibaya. ila kila utakachozungumza kitaweza kukufanya wewe kuwa najisi au ukawa baraka kwa watu. be flexible
 
Brenda am very ready tena more than serious. .ila usisome comments zikakuchanganya..my thread is ok i wrote it just for fun..ila pipoz wameexagurate mpaka imeonekana kama big ishu..like seriously watu wangap wanataniana humu an it is ok with them sema sababu nimeandika abt pm imekua shida...maombi yangu yapo pale and nitafanikiwa as Gods will

Unajua inawezekana kweli upo kwenye mood ya utani lakini sasa I think this matter is so sensitive my dear,halafu pia I think hujaizoea jf vizuri yani kuna wakati ukiweka tu comment kwenye thread ya mtu bado utapata PM....
All in all,take it easy lakini there are good men humu,don't limit God,naona kabisa ndoa itatokea humu Hahahaa usiache kutupa feedback....
 
Hahahaa lilymashy kumbe haupo tayari kwa hicho ulichokiomba,wanaume wa humu ndio haohao wa mtaani....
Trust me there are good men humu sio kama unavyo wajudge
All the best,funga mkanda safari imeanza

Brenda am very ready tena more than serious. .ila usisome comments zikakuchanganya..my thread is ok i wrote it just for fun..ila pipoz wameexagurate mpaka imeonekana kama big ishu..like seriously watu wangap wanataniana humu an it is ok with them sema sababu nimeandika abt pm imekua shida...maombi yangu yapo pale and nitafanikiwa as Gods will

watu wamesoma thread yako wakaona sio mbaya kujaribu bahati zao....kumbe wewe humu umekuja ku have fun juu ya kitu ambacho uko serious nacho.

unajua tupo wengi tunaotaka kuoa 2016 sasa fursa kama hizi zikijitokeza hatujivungi....mimi nilikuwa nasubiri kidogo ndio nije pm kwa sababu nilijua baada ya ile thread kutakuwa na foleni....ila please usije kunianzishia thread.
 
Ungepata PM moja bado ungekuja kulalamika na kutunga ya kusema watu.

Kuna ka tabia fulani unakaonyesha jirekebishe hautafaaa wengi wao labda waio na choisi.
 
Unajua inawezekana kweli upo kwenye mood ya utani lakini sasa I think this matter is so sensitive my dear,halafu pia I think hujaizoea jf vizuri yani kuna wakati ukiweka tu comment kwenye thread ya mtu bado utapata PM....
All in all,take it easy lakini there are good men humu,don't limit God,naona kabisa ndoa itatokea humu Hahahaa usiache kutupa feedback....

Mwambie huyo tupo humu asituchukulie poa....btw hio kauli imeni surprise!

Mwambie huyo tupo humu asituchukulie poa....btw hio kauli imeni surprise!

Hahahaa hulali ati,nakupigia debe hapo huoni?
Kabisa narudia kauli yangu,kuna wanaume wazuri(tabia etc) humu ashindwe mwenyewe tu,kama mimi nnavyoshindwa mwenyewe...
 
First of all is very rare for a "real woman" to Crack such a jock and get away with it otherwise ni Donald Trump wa kike!!

Secondly you say you are very "serious" about searching for a Life partner but yet you only show your "funny"(stupid) side and you still demand for some serious d**k?? Sitaki nataka eeeh? ? Haya maybe wapo wanaotaka kucheza kuchikuchi hotahe kama Shahrukh Khan!

All the best my sister.
 
if u are interested fatilia kisa cha bwana Horatio alieandika wimbo wa it is well in my soul. utajiona bado Mungu anatupa rehema na neema zake. under normal circumstances ni ngumu kujua mood ya mtu kupitia maandishi yake ila tunaweza kuhisi tu. lakini tunaweza kufahamu dhamira au kusudio la muandishi. kama muandishi hataweka wazi kusudio lake basi kila atakayesoma atakuwa na tafsiri ya kivyake zinaweza kushabihiana au la. usiwalaumu wana JF hata wewe huwezi kutambua mood kwa kusoma maandishi unless utumie macho au masikio unaweza tambua. unachokiona ndio msingi wa binadamu na hata jf tunayoitumia bila ya watu kusuguana kimawazo tusingekuwa hapa. be flexible be flexible ukishaamua kutoa mawazo,kero,hoja kwenye kadamnasi kama hapa tegemea lolote mengine toka uzaliwe hujawahi kuyasikia au kuyaona mengine hujawahi dhania hata kama yapo maishani. lets make things in simple way as possible we can but not simgler. be flexible. flexibility makes simple,unboring and always happy
 
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.

Usipoangalia kwa ujinga huo utadoda pumbavu! Yaani unatokewa alafu unawakejeli?

Bahati mbaya ni kwamba kwa mwanaume umri siyo ishu kivile
 
Hahahaa hulali ati,nakupigia debe hapo huoni?
Kabisa narudia kauli yangu,kuna wanaume wazuri(tabia etc) humu ashindwe mwenyewe tu,kama mimi nnavyoshindwa mwenyewe...

naomba nije PM.
 
Duuuh..... Kumbe ulikuwa unajaribu, asante kwa wishes zako, weekend njema pia.
 
Usipoangalia kwa ujinga huo utadoda pumbavu! Yaani unatokewa alafu unawakejeli?

Bahati mbaya ni kwamba kwa mwanaume umri siyo ishu kivile

Ni kweli mwanaume anaweza kuwa umri mkubwa lakini achapa kuliko vijana
 
Usipoangalia kwa ujinga huo utadoda pumbavu! Yaani unatokewa alafu unawakejeli?

Bahati mbaya ni kwamba kwa mwanaume umri siyo ishu kivile

Ahifadhi maneno yake labda huko baadae sana atakapopevuka kiakili aje fanya review ili ajionee mwenyewe haya.
 
Umetangaza nia ya kuolewa ifikapo 2016 tena kwa msisitizo, mm niliamini hauna mchumba pengine angekuoa huo mwaka na ww nia yako ni kuona mwaka huo unakuwa na mume wa kwako. kwa andiko lako hata ungeenda kutangaza kanisan ungepata folen ya wanaume. Wanaume waliopo humu ndan ndo hao hao ambao unaomba Mungu akupe mmoja wao, sasa badala ya kufanya assessment kuona yupi anakufaa unakuja kutuambia tena pm imejaa mara wengne waonekana mabazaz unakuwa haueleweki unataka nini.

Haya wadau wanakubana unasema uko serious kweli na utaolewa 2016 lakn kwa andiko hili unatania tu kha! labda pengne unamchumba na ametangza nia ya kukuweka ndan kwa hiyo hapa unasanifu vinginevyo unajikaanga mwenyew. siku nyingine unapotania ujipange pia kutaniwaa
 
Teh teh..Mpendwa nimekoma kutongoza vitoto..Sasa huyu kumfwata tu pm anakuja kuanzisha uzi..Ningemgonga si angefanya press conference kabisa..

Umenivunja mbavu maana ndio alivyoonyesha.
 
Back
Top Bottom