KERO PMI Dhibiti or control Malaria Project Southern regions ina matatizo kihuduma kwa wananchi

KERO PMI Dhibiti or control Malaria Project Southern regions ina matatizo kihuduma kwa wananchi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mradi PMI Dhibiti Malaria mikoa ya Kusini Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma kuna uonevu kwa iCCM providers kwa miezi mitano hawajaripwa na waliahidiwa kusaini mikataba ya kazi nalo bado hawajafanyia kazi na Wizara ya Afya ipo.
 
Mradi upo kuwakomboa wananchi walio mbali na vituo vya afya na kuna hali ngumu ya kufikia huduma za kiafya asa kwa watoto na wazawazito, huduma zimesitisha wananchi wanadai kuwa wahudumu au(Iccm providers) wanasua kufanya kazi sababu hawapewi stahiki zao au malipo na kupelekea mpaka wananchi kuuziwa dawa ambazo serikali inatoa bure mfano artemethalumefatrine(ALU)
 
Nje ya mada naomba kujua ile dawa ya kuuwa mmbu mliyotumia kunyunyuzia kwenye chemba za vyoo.
 
Back
Top Bottom