Kama serikali imeamua kurekebisha grading system kutoka O. level hadi form six basi io haja pia ya kuweka mpango mpya wa kudahili watu kuiunga na vyuo vikuu.
NİNİ MCHANGO WAKO MDAU KATİKA HİLİ
yeah kuwe na mifumo miwili ile ya zamani (old grading system ) kwa ajili ya wale waliosoma enzi hizo na mfumo mpya (new grading system) kwa ajili ya hawa wanaomaliza hivi karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.