Pochettino aondoka Chelsea mwaka mmoja tangu aanze kuinoa klabu hiyo

Pochettino aondoka Chelsea mwaka mmoja tangu aanze kuinoa klabu hiyo

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
1716320482277.png

Kocha Mauricio Pochettino (52) aliyesaini kandarasi ya kuinoa Chelsea kwa miaka miwili, anaondoka Klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote ikiwa ni mwaka mmoja tangu aanze kuinoa Klabu hiyo ya Magharibi mwa London

Klabu hiyo yenye Makazi yake katika Dimba la Stamford Bridge inatarajiwa kutafuta mrithi, ambapo Kieran McKenna, Sebastian Hoeness, Michel na Enzo Maresca wanatajwa kuwa miongoni mwa Makocha wanaoangaliwa kwa karibu

Pochettino anayeiacha Chelsea katika nafasi ya 6 ya Ligi ya EPL anakuwa Kocha wa tatu kuondoka The Blues chini ya Muunganiko wa Wamiliki unaoongozwa na Todd Boehly alipochukua timu hiyo Mei 2022. Makocha wengine ni Thomas Tuchel na Graham Potter
***

Chelsea manager Mauricio Pochettino has left the club by mutual consent after just one season at Stamford Bridge.

Pochettino, 52, took charge of Chelsea on 1 July, signing a two-year contract with the option of a further year.

The Argentine came under fire after an underwhelming first half of the season but led them to a sixth-place finish in the Premier League.

Chelsea also finished as runners-up in the Carabao Cup and reached the semi-finals of the FA Cup.

"Thank you to the Chelsea ownership group and sporting directors for the opportunity," Pochettino said.

"The club is now well positioned to keep moving forward in the Premier League and Europe in the years to come."

He is the third manager to be sacked, following Thomas Tuchel and Graham Potter, since Todd Boehly and Clearlake Capital bought the club in May 2022.

"On behalf of everyone at Chelsea, we would like to express our gratitude to Mauricio for his service this season," sporting directors Laurence Stewart and Paul Winstanley said.

"He will be welcome back to Stamford Bridge any time and we wish him all the very best in his future coaching career."

Coaches Jesus Perez, Miguel d’Agostino, Toni Jimenez and Sebastiano Pochettino have also left.
 
Labda msimu ujao na wenyewe wataleta ushindani kwenye Ligi kama watafanya maboresho ya timu yote kwa ujumla. Ila kwa hali ilipokuwa imefikia, kwa kweli ni masikitiko tu.
 
Una uhakika?
Prondo unashangaa nini ,Chelsea umesahau lini? Manchester umesahau lini hakuna mashabiki ambaye angekaa nyumbani asiende kuwatazama hao wote wawili wakati huo wanawaalimu waziri pamoja na fedha za kutosha ?Yaani umemsahau Abromovic?Kwa sasa wanaoangalia man u na Chelsea ni wale hawajui Chelsea ilikiwaje au man u lakini Mimi NAJIULIZA NAMTAZAMA MCHEZAJI GANI !!!
 
Prondo unashangaa nini ,Chelsea umesahau lini? Manchester umesahau lini hakuna mashabiki ambaye angekaa nyumbani asiende kuwatazama hao wote wawili wakati huo wanawaalimu waziri pamoja na fedha za kutosha ?Yaani umemsahau Abromovic?Kwa sasa wanaoangalia man u na Chelsea ni wale hawajui Chelsea ilikiwaje au man u lakini Mimi NAJIULIZA NAMTAZAMA MCHEZAJI GANI !!!
Pesa wanayo,shida ni management. United wameanza from scratch baada ya Radcliffe kuingia. Again,pesa sio tatizo.
 
Back
Top Bottom