Pochi ya binti wa Marekani VS Pochi ya binti wa Tanzania

Pochi ya binti wa Marekani VS Pochi ya binti wa Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila siku wao wanasafir sijui....
 
Umeonaeee. Ila wameongeza chumvi bana
Mbona mnakwepa message(muache kutupiga mizinga)..!

Demu yeye akienda kuliwa anachojua mchongo wake ni papuchi tuu kwa siye hatuchangii msaliboko[emoji125][emoji125]

Ukihoji kisingizio eti Mungu alisema tutakula kwa jasho poah mbona kutawaliwa mnakupinga ajasema hilo pia??
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Haziwagi na vitu vyote hivyo bana.
Hiyo imefanyiwa edit tu mnabeba vingi mno hadi wengine sindano na uzi nyie cherehani
 
n



nahakika hujamwelewa mtoa mada.. haihusu miznga hii! soma tena
Anaelezea nyie kuomba pesa hovyo(utegemezi) uvivu(kujiremba kupoteza muda), poor thinking(mnawaza upuuzi/vitu vilivyomo) na umasikini(pesa inaweza tatua mengi siyo lazima ubebe mengi)
 
POCHI YA BINTI WA MAREKANI
1:Visa card
2😀riving License
3:Business Card 3 muhimu
4:Hela ya matumizi

POCHI YA BINTI WA TANZANIA
1:Tissue
2:Toilet Paper
3:Always
4:Lip bam
5:Lip shiner
6:Kioo kilichopasuka
7:Wanja
8:Foundation
9:Lotion
10😀eodorant
11:Vaseline ya mgando kakopo kadogo
12:Toothpick
13:Miwani kuuubwa
14:Leso 3
15:Kufuli (umeelewa namaanisha ipi)
16:Line za simu kama 6
17:Kanga
18:Mtandio
19:Wigi
20:Hela za matumizi (NATANIA TU)
21:ATM card (hajui password)
22:Chaja ya simu
23:Chanuo
24😛afyum
25😛ipi, chocolate, bublish
26:Viatu
27:Rangi za kucha
28:Hereni
29:Kibanio cha nywele
30:Night dress
Umesahau U**e bandia!! [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom