Pochi ya binti wa Marekani VS Pochi ya binti wa Tanzania

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yaan m hy no.6 nimecheka jmn nmewaza vile vioo vya jicho moja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We tutake radhi kwani tunatembea na dressing table au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!!! Huu uzi umenichekesha sana na kunikumbasha mdogo wangu mwaka jana alipolwa pochi stand ya daladala.
Alitoa taarifa polisi na alifanikiwa kulipata.
Swala la kwanza kutoka polisi walimuuliza dada pochi lako lina vipodozi na kitenge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani anabeba begi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], au pochi??? Sio Kwa mizigo hiyo

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Siku hizi wanakuja maofisini na mizigo hasa.

 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…