Bila kusahau maandazi/vitumbua,hasa wanaofanya kazi maeneo ya postaMwenzangu hiyo inakuwa si pochi tena maana tafsiri yote ya pochi inakuwa ishapotea.
Sio begi hilo, labda ni sanduku ama kabati kabisaaa.......[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hiyo pochi au beg kabisa mtu anahama.
Hahahaaaa. Umenikumbusha mbali nshagongana na mmoja ameweka mihogo ya kukaanga.Bila kusahau maandazi/vitumbua,hasa wanaofanya kazi maeneo ya posta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataanza kuhama na vyombo kabisaSio begi hilo, labda ni sanduku ama kabati kabisaaa.......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wataanza kuhama na vyombo kabisa
Hii kali..wapunguze mizigoPOCHI YA BINTI WA MAREKANI
1:Visa card
2πriving License
3:Business Card 3 muhimu
4:Hela ya matumizi
POCHI YA BINTI WA TANZANIA
1:Tissue
2:Toilet Paper
3:Always
4:Lip bam
5:Lip shiner
6:Kioo kilichopasuka
7:Wanja
8:Foundation
9:Lotion
10πeodorant
11:Vaseline ya mgando kakopo kadogo
12:Toothpick
13:Miwani kuuubwa
14:Leso 3
15:Kufuli (umeelewa namaanisha ipi)
16:Line za simu kama 6
17:Kanga
18:Mtandio
19:Wigi
20:Hela za matumizi (NATANIA TU)
21:ATM card (hajui password)
22:Chaja ya simu
23:Chanuo
24πafyum
25πipi, chocolate, bublish
26:Viatu
27:Rangi za kucha
28:Hereni
29:Kibanio cha nywele
30:Night dress
Pochi hiyo mmiliki anaitwa kambi popote anaweza kuhamia kwako hata mwezi![emoji3]Mkuu hiyo pochi au beg kabisa mtu anahama.
π π π π π π π π20:Hela za matumizi (NATANIA TU)
21:ATM card (hajui password)
Kioo kilichopasuka [emoji3]POCHI YA BINTI WA MAREKANI
1:Visa card
2πriving License
3:Business Card 3 muhimu
4:Hela ya matumizi
POCHI YA BINTI WA TANZANIA
1:Tissue
2:Toilet Paper
3:Always
4:Lip bam
5:Lip shiner
6:Kioo kilichopasuka
7:Wanja
8:Foundation
9:Lotion
10πeodorant
11:Vaseline ya mgando kakopo kadogo
12:Toothpick
13:Miwani kuuubwa
14:Leso 3
15:Kufuli (umeelewa namaanisha ipi)
16:Line za simu kama 6
17:Kanga
18:Mtandio
19:Wigi
20:Hela za matumizi (NATANIA TU)
21:ATM card (hajui password)
22:Chaja ya simu
23:Chanuo
24πafyum
25πipi, chocolate, bublish
26:Viatu
27:Rangi za kucha
28:Hereni
29:Kibanio cha nywele
30:Night dress