Pocket money kwa mke

Pocket money kwa mke

Any relationship is a contract, na inakuja na distribution of inputs, outputs, and outcomes. It doesn't mean kua ni biashara. Makubaliano kkati ya wahusika (acknowledged or tacit) ni part of the contract pia. Sasa kama Penny na mume wake walikubali wote kua pocket money ni muhimu (and I am assuming that it i not a salary but a distribution of income within the household) basi kosa la jamaa ni kosa la kutowajibika, na all this has nothing to do with mfumo dume.

I'm sure he is so proud of you.
 
Pole sana dada jaribu kuwa mvumilivu labda mumeo atabadilika na kuona umuhimu wa kukupa pocket money. Jitahidi uijue lugha ya hapo ulipo hii itakusaidia katika kupata ajira, pia kuna umuhimu mkubwa wa wewe kwenda shule kama utaweza kufanya hivyo.

hela ya drier imemshinda! huyo mke atafukuzwa shule kila cku kwaajili ya ada! pesa ya madaftari,pen,pencil,ruler mbona utakoma dada angu! ya daladala pia hutopewa! ya kula mchana cjui utaitoa wapi! huyo mwanaume anaasili ya UBAGHILI!!!! ajirekebishe kwanza
 
Back
Top Bottom