Pocket money ya Maulid Kitenge eti 1 million

Angekuwa na huo mkwanja asingekuwa kibarua wa domo
 

Acha uffala we digidigi!! wazaramo wanaingiaje hapo
 
mbona humzungumzii mkulu anaetembea na mabungurutu na kugawa kama ngugu??
 
Hizo USD kwa hapa bongo unatumia maeneo gani?
Hususani hizo 20 USD unazosema ni kwa ajili ya emergency..
 
Hizo USD kwa hapa bongo unatumia maeneo gani?
Hususani hizo 20 USD unazosema ni kwa ajili ya emergency..
Sijakanyaga Bongo miaka kadhaa.

Hata likizo siku hizi naenda visiwa vya Turks and Caicos, na familia ya karibu wanakuja kunitembelea nilipo karibu kila mwaka.
 
Unadhani analipwa laki 5 kwa mwezi pale wasafi media?,ingekua hivyo asingetoka ITV kwenda e FM,na pia asingetoka e FM kwenda wasafi media,huko kote alipoenda alifata dau zuri ndo maana wanaweza kumng'oa
Angekuwa na huo mkwanja asingekuwa kibarua wa domo
 
Mshamba tuu.. karne hii unatembea na mikaratasi
 
Hapa ndipo tunapokwama wabongo, sasaa yeye kutumia m1 kuna shida gani??
 
Atheist mwenzangu unaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…