Pocket money ya Maulid Kitenge eti 1 million

Pocket money ya Maulid Kitenge eti 1 million

Mimi na Bakhresa tunatembea bila hata senti moja! Hotel za kufikia, Kutoa misaada, matumizi home na safari zetu tunapangiwaga tu! ni rahisi kumkuta mtoto wangu na hela kuliko mimi au Mo Dewji.
 
Itakua hukumuelewa...... Karudie tena kusikiliza mazumgumzo
 
Mi nikiwatoa out masela wangu lazima niwe na burungutu la kufa mtu, hapo ujue chawa kibao wananilinda kama Kagame. Ole wako uniletee za kuleta. Na mimi ninavyopenda center of attention wanakula bia mpaka wanatambaa na usafiri wanachukua. Sio unaonyeshaonyesha, kuna watu tunafanya fujo za ukweli.
 
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si kufuru hizi kwa usawa huu wa Magu. Kakangu kitenge acha dharau ukizingatia una ndugu zako wazaramo kibao hawana mbele wala nyuma

Ungefumba macho
 
Back
Top Bottom