Pocket WiFi/Mifi kutoka Airtel

Pocket WiFi/Mifi kutoka Airtel

Next Elon Musk

Senior Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
115
Reaction score
87
OFA OFA OFA!!!!!!
Jipatie Pocket WiFi kutoka Airtel inayo unganisha vifaa zaidi ya 10 na kasi Hadi Mbps 30, pia utapokea offer ya GB 20 mwaka mzima
Vifurushi:
⚡Elfu 10 Gb 10.5
⚡Elfu 20 Gb 22
⚡Elfu 30 GB 35
⚡Elfu 50 GB 75
⚡Elfu 75 GB 100
⚡Laki 1 GB 200


📞Mawasiliano 0742772122
⚖️Vigezo na Masharti kuzingatiwakuzingatiwa
 

Attachments

  • IMG-20230405-WA0033.jpg
    IMG-20230405-WA0033.jpg
    115.4 KB · Views: 6
Mbona kwenye hicho kipeperushi wanasema unapata 80GB bure
 
Gb 20, 60 kwa miezi kumi nabili 60/12=5, ila Sasa hivi ni wanakuongezea bando gb 10 kila ukinunua kifurush
Vigezo na masharti yakoje.

Halafu mbona hueleweki?

Kama unapewa offer ya 20 + 60 kwa mwaka ... Maana yake ni:
80/12 = 6.6 GB za Bure kila mwezi.

Na kila ukinunua kifurushi chochote (kulingana na maelezo yako) unapewa 10GB Bure.

Kwahiyo kila mwezi una uhakika wa 6.6 + 10 = 16.6 GB za BURE.

JE, niko sawa?
 
Vigezo na masharti yakoje.

Halafu mbona hueleweki?

Kama unapewa offer ya 20 + 60 kwa mwaka ... Maana yake ni:
80/12 = 6.6 GB za Bure kila mwezi.

Na kila ukinunua kifurushi chochote (kulingana na maelezo yako) unapewa 10GB Bure.

Kwahiyo kila mwezi una uhakika wa 6.6 + 10 = 16.6 GB za BURE.

JE, niko sawa?
Zamani ulikuwa unapewa 20 then unapewa gb 5 kila mwezi kwa miezi kumi na mbili kiongozi, Sasa unapewa bonus ya gb kama izo menu apo nilizo weka kiongozi 🙏
 
Back
Top Bottom