Next Elon Musk
Senior Member
- Dec 2, 2019
- 115
- 87
Masaa 8Vp kina kaa na chaja mda gani?
IpoHaina Unlimited bundles??
Sh ngapi
50,000Sh ngapi
Gb 20, 60 kwa miezi kumi nabili 60/12=5, ila Sasa hivi ni wanakuongezea bando gb 10 kila ukinunua kifurushMbona kwenye hicho kipeperushi wanasema unapata 80GB bure
Vigezo na masharti yakoje.Gb 20, 60 kwa miezi kumi nabili 60/12=5, ila Sasa hivi ni wanakuongezea bando gb 10 kila ukinunua kifurush
Zamani ulikuwa unapewa 20 then unapewa gb 5 kila mwezi kwa miezi kumi na mbili kiongozi, Sasa unapewa bonus ya gb kama izo menu apo nilizo weka kiongozi 🙏Vigezo na masharti yakoje.
Halafu mbona hueleweki?
Kama unapewa offer ya 20 + 60 kwa mwaka ... Maana yake ni:
80/12 = 6.6 GB za Bure kila mwezi.
Na kila ukinunua kifurushi chochote (kulingana na maelezo yako) unapewa 10GB Bure.
Kwahiyo kila mwezi una uhakika wa 6.6 + 10 = 16.6 GB za BURE.
JE, niko sawa?
HauelewekiZamani ulikuwa unapewa 20 then unapewa gb 5 kila mwezi kwa miezi kumi na mbili kiongozi, Sasa unapewa bonus ya gb kama izo menu apo nilizo weka kiongozi 🙏
Haueleweki
Izo bamdo ndo nime mention hapo boss thanks 🙏Haueleweki
50,000huwezi amini mpaka dakika hii ya themanini na kitu jamaa bado hajaweka bei
50,000Bei gani mkuu?