Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Kujieleza wapi? Humu jF au kwa huyu binti?Kujieleza sana dalili ya udhaifu. Man up.
Leo naona dalili zote za kila mtu shuka lakeOhoo! Ngoja waje waliooa wakupe mbinu yakuutuliza huo moto
Sawa Mr mutuu, kama unaona huu ni upuzi haukuwa na haja ya kuandika maneno yote hayo, ungepita tuJf katika kitu walichokukosea ni kuruhusu most updated threads zionekane kwanza, enzi zile ukifungua jf direct unakutana na majukwaa unachagua la kuingia, Kuna majukwaa nilikua naweza kukaa hata mwaka sijafungua, mahusiano mapenz na Nini sijui, na lile la chit chat... Sijawahi kuwaza kuyafungua sometimes ni kuepuka upuuzi kama huu
Anasema eti nimepewa hug mpaka harufu imebaki 😂serious umekosa msela wa kumpigia simu athibitishe ulikuwa bar kucheza pool table ukapaka na poda usoni 😂
Hii sio marriage Mkuu, bado hatujafika hukoPipa na Mfuniko. Happy Marriage
Mimi nimesema ukweli, japo bado ukweli huo haujasaidia kitu zaidi ya kuongeza lawamaNa wewe si ungesema umempakata mtoto kwenye gari...
Lakini Mods watusaidie tusione huu upuuziSawa Mr mutuu, kama unaona huu ni upuzi haukuwa na haja ya kuandika maneno yote hayo, ungepita tu
Watag kabisa waoneLakini Mods watusaidie tusione huu upuuzi
Ndyo ni hadithi, kama unataka kusimuliwa zaidi stay, Kama hutaki nendaNilijua uzi unahusu Dawa za kulevya na Mihadarati.
Kumbe ni Ngano/Hadithi
Kiufupi sina muda mrefu na yeye, pia sipo nae kila sikuSwali...ni kwamba Leo tu ndo umecheza hyo PT?na kama hapana je hizo siku nyingine ulizokuwa una cheza hukuwa unatumia hyo poda?na kama ndio ulikuwa unatumia ilikuwa haina harufu au wamebadilisha product?...sasa hapo ndo utatumia kama rejea kusolve huo msala...tofaut na hapo mweleze tu Leo ulikuwa away ground na hutorudia kosa