Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Usiku huu wakati narejea magetoni, mwenzangu amecharuka na hataki kuelewa lolote, anadai nimetoka kukutana na mwanamke mwingine.
Sababu ni harufu ya Poda ambayo imebaki mwilini mwangu, kweli sijakataa nanukia Poda.
Lakini Kama mnavyojua mchezo wa pool table, Ni lazima utumie Poda ili kurahisisha fimbo kuteleza mkononi, na hiyo ndyo sababu ya kubaki na harufu kali ya Poda.
Najitahidi kuzima huu moto lakini naona bado haiwezekani, leo nimeyatimba.......