Poda imeniponza, amegoma kunielewa

Poda imeniponza, amegoma kunielewa

Basi ka analeta utomaso weka kweny bodaboda peleka mpk sehem uliokuwa unacheze muaminishe kwa kumpulizia usoni ili siku nyingine akili imkae...tofaut na hapo ukitaka kwenda kucheza Hilo PT utoke na unga wa Dona magetoni
PT ni mchezo pendwa na siwezi kuacha, ila siku tutapita sehemu na akitaka nitamuonesha aione Poda kwenye PT
 
Usiku huu wakati narejea magetoni, shemeji yenu amecharuka na hataki kuelewa lolote, anadai nimetoka kukutana na mwanamke mwingine.

Sababu ni harufu ya Poda ambayo imebaki mwilini mwangu, kweli sijakataa nanukia Poda.

Lakini Kama mnavyojua mchezo wa pool table, Ni lazima utumie Poda ili kurahisisha fimbo kuteleza mkononi, na hiyo ndyo sababu ya kubaki na harufu kali ya Poda.

Najitahidi kuzima huu moto lakini naona bado haiwezekani, leo nimeyatimba.......
Mpeleke kwenye pooltable mkae saa mbili kisha ondoka usiongee nae chochote ,endelea na maisha
 
Back
Top Bottom