Poda nzuri Kwa mtoto mchanga

Poda nzuri Kwa mtoto mchanga

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
Masaada wakuu

Mtoto n mchanga WA week 1
Na anaswet shingoni ukimpanguza
Anakua kama anababuka

Naomba kujua poda nzuri Kwa
Mtoto

Na ametokwa na vipele
Ambavyo vnakaa kama uzaraha
Ila ukivitumbua vitoka majimaji
Na vinakauka

Msaada wa dawa dafadhali
 
siku hizi haishauriwi kumpaka mtoto mchanga poda,so hakuna poda nzur mafuta ya naz yanamtosha mmwagie mafuta ya kutosha hasa sehemu zenye mikunjo km hapo shingoni
NB,vipele 10 nakuendelea vinavyotunga usaha ni mojawapo ya dalili za hatari kwa mtoto unashauriwa kumpeleka hospital
 
Back
Top Bottom