siku hizi haishauriwi kumpaka mtoto mchanga poda,so hakuna poda nzur mafuta ya naz yanamtosha mmwagie mafuta ya kutosha hasa sehemu zenye mikunjo km hapo shingoni
NB,vipele 10 nakuendelea vinavyotunga usaha ni mojawapo ya dalili za hatari kwa mtoto unashauriwa kumpeleka hospital