brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Sasa hutaki au ??Acha uongo!!!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mungu anakuona ujue ,wewe nipe laana tuMbinguni utishia kukusikia tu
Unataja jina la Mungu wakati unawaza ufuska.... Mtaje ibilisi nyambafuuuuuEbwana wadau kuna duuh fulani , nilimtokea siku za nyuma alikubali ila alisema hanipi mzigo mpaka Pogba ashinde goli, ebwanaa eeeeeh leo kama zali vileee kitu wamo Pogba katupia mbona niliwehuka kwa kweli nikasema daah sijui huyu mtoto ahadi yake ilikuwap kweli , nikawa nawaza sana
Mungu si Athumani bhana baada ya mpira kuisha mtoto huyo kanirukia hewani , nikachonga naye nikampanga vizuri wapi tukutane mtoto wala hakutia ngumu ,nikakutana naye piga show kwa saaaana sasa najiona mwepesiii
Daaaah pongezi kwako bwana Pogba
Yeye ndio keshasema wazinzi kama wewe hawawwzi kuuona ufalme wa mbingu.Mungu anakuona ujue ,wewe nipe laana tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wa mhimu zaid kwa demu ni pogba na sio wewe
Aisee kumbe leo ,kushinda kwa Man kumeleta neema kubwa kiasi hicho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ufalme wa mbingu ni hapahapa duniani, asikwambie mtu mi mwenyewe nimekula mtoto mtamu kwa kamali ya Man U na Leicester city meow natoka guest mda huu.
Acha ubishi mtoa mada nilikua nae time anabonga na mtoto akale dyuudyuuzAcha uongo!!!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji134][emoji134][emoji134]tuwe wavumilivu tu vichwa maji humu hawaishi!