Pogba kasababisha nile mzigo kiulaaani kabisa leo

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Ebwana wadau kuna duuh fulani , nilimtokea siku za nyuma alikubali ila alisema hanipi mzigo mpaka Pogba ashinde goli, ebwanaa eeeeeh leo kama zali vileee kitu wamo Pogba katupia mbona niliwehuka kwa kweli nikasema daah sijui huyu mtoto ahadi yake ilikuwap kweli , nikawa nawaza sana

Mungu si Athumani bhana baada ya mpira kuisha mtoto huyo kanirukia hewani , nikachonga naye nikampanga vizuri wapi tukutane mtoto wala hakutia ngumu ,nikakutana naye piga show kwa saaaana sasa najiona mwepesiii

Daaaah pongezi kwako bwana Pogba
 
Unataja jina la Mungu wakati unawaza ufuska.... Mtaje ibilisi nyambafuuuuu
 
Ufalme wa mbingu ni hapahapa duniani, asikwambie mtu mi mwenyewe nimekula mtoto mtamu kwa kamali ya Man U na Leicester city meow natoka guest mda huu.
 
Aisee kumbe leo ,kushinda kwa Man kumeleta neema kubwa kiasi hicho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tuwe wavumilivu tu vichwa maji humu hawaishi!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom