Aisee wapi nimewaponda wakristo?? ThibitishaWewe ndo unahangaika kuuponda UKRISTO?! Jitu zinzi ... Anyways, Ukitubu Mungu atakusamehe.
Kwa nini Joanah??Ivi hance huwa una stress/kasirikaga??
Post zako nyingi nazokutana nazo mimi huwa zinaonesha uko katika good moodKwa nini Joanah??
[emoji3] [emoji3]Mbinguni utishia kukusikia tu
hah ha ha,ndivyo inavyotakiwa hivyo gentleman uwePost zako nyingi nazokutana nazo mimi huwa zinaonesha uko katika good mood
Duu matusi ya nn tena,punguza hasira MamaaTena kwenye mambo ya kipuuzi hivi ukome kumtaja Mungu.unafkir unapata cfa
NA kwa Mungu pia utaenda kujisifu hivo hivoEbwana wadau kuna duuh fulani , nilimtokea siku za nyuma alikubali ila alisema hanipi mzigo mpaka Pogba ashinde goli, ebwanaa eeeeeh leo kama zali vileee kitu wamo Pogba katupia mbona niliwehuka kwa kweli nikasema daah sijui huyu mtoto ahadi yake ilikuwap kweli , nikawa nawaza sana
Mungu si Athumani bhana baada ya mpira kuisha mtoto huyo kanirukia hewani , nikachonga naye nikampanga vizuri wapi tukutane mtoto wala hakutia ngumu ,nikakutana naye piga show kwa saaaana sasa najiona mwepesiii
Daaaah pongezi kwako bwana Pogba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyo duu ni tunda au??