Pogba kasababisha nile mzigo kiulaaani kabisa leo

Pogba kasababisha nile mzigo kiulaaani kabisa leo

Ebwana wadau kuna duuh fulani , nilimtokea siku za nyuma alikubali ila alisema hanipi mzigo mpaka Pogba ashinde goli, ebwanaa eeeeeh leo kama zali vileee kitu wamo Pogba katupia mbona niliwehuka kwa kweli nikasema daah sijui huyu mtoto ahadi yake ilikuwap kweli , nikawa nawaza sana


Mungu si Athumani bhana baada ya mpira kuisha mtoto huyo kanirukia hewani , nikachonga naye nikampanga vizuri wapi tukutane mtoto wala hakutia ngumu ,nikakutana naye piga show kwa saaaana sasa najiona mwepesiii



Daaaah pongezi kwako bwana Pogba
NA kwa Mungu pia utaenda kujisifu hivo hivo
 
uzinzi huu...!!
mungu anakuonaaaa.....
 
Back
Top Bottom