Pogba kurejea Man. United msimu ujao

Pogba kurejea Man. United msimu ujao

GANA BANKS

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
608
Reaction score
872
Pogba anataka kurejea Old Trafford:

Kufuatia mgogoro unaoikumba timu ya Juventus,baada ya kupokonywa alama 15 na kushuka hadi nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Serie A,sasa kiungo Paul Labile Pogba anataka kuondoka klabuni hapo..

Pogba ambaye hajaanza mchezo wowote tangia kurejea kwake tena akitokea Manchester United anasema hafurahishwi na mazingira Juve.

Aidha kulingana na watu wake wa karibu,Pogba angependezwa kurejea tena Old Trafford na kufanya kazi chini ya Ten Hag.

Je ungependa kumwona Pogba akiwa na uzi wa United tena?
1674491244317.jpg
 
Hawa wachezaji wa kiswahili wengine kama huyu Pogba ni shida sana labda aende timu nyingine kwani alipokuwa Man United alikuwa na kiburi sana mara agomeshe wachezaji, yaani ni tabu sana.
 
Back
Top Bottom