Mkuu umenifanya nicheke sana eti pogba wa kwetuMimi nilijua Pogba huyu Wa kwetu.
Mkuu najua utakuwa mshabiki wa man utd hakuna anayepinga kwamba pogba ni mchezaji mzuri na kiwango chake kinakua kila kukicha ila UKWELI bado hajafikia level ya MESSI & RONALDO sometimes ushabiki ama unazi wa timu zeti usitufanye tupotoshe uhalisia wa mambo
Huyu jamaa Ronald na Mesi hawaingii kabisa.
Skills zake ni level ya zidane kipindi kile huyu ni lever ingine kabisa.
Kuna siku atauzwa hata paund Milioni 200 .
Ivi messi ameshalipa kodi?? Messi ni king ila CR7 ni god!!Acha kumfananisha King Messi na vitu vya kijinga
Cr7 ana kesi ya ukwepaji kodi na ikibainika jela miaka 3Ivi messi ameshalipa kodi?? Messi ni king ila CR7 ni god!!
Mkuu acha kufuruIvi messi ameshalipa kodi?? Messi ni king ila CR7 ni god!!
nafikiri akina Hazard na Messi watakuwa wanacheza Cricket
Huyu jamaa Ronald na Mesi hawaingii kabisa.
Skills zake ni level ya zidane kipindi kile huyu ni lever ingine kabisa.
Kuna siku atauzwa hata paund Milioni 200 .