Pogba ni mtumishi hewa

zegamba180

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
820
Reaction score
541
Nimetazama mechi iliyoshika nafasi moyoni mwa wapenda soka duniani, kati ya Man United na Man City. Kiukweli ingawa wapenzi vipofu wa Man U mtabisha lakini ndo ukweli kuwa Pogba Mtumishi hewa.
Bora huduma aliyowapa Herrera kuliko huyo mtumishi hewa wenu.
 
Sidhani kama kosa ni hilo!!
Tatizo ni Mourinho "ambae ni kocha wa KUSAJILI kila club aendayo" na siyo kocha wa kufundisha mpira. Hajui mpira, anataka mafanikio ya fasta kupitia wachezaji bora. Laiti, Mourinho angepewa kikosi cha Man City na Pep Gurdiola akapewa kikosi cha Man Utd walai wangekula 7!!
Angalia show GAME ya Man City, kama vile SAMBA ya SPAIN imehamia ENGLAND. Tena kwa kikosi cha vijana wadogo sana na wasio na majina makubwa. Pep huimiza utumiaji wa AKILI (Kichwa) wakati Mourinho huimiza kutumia NGUVU.
 
Npeni matokeo jamani
 
mourinho analaumiwa ndio
Lakini utaachaje kumlaumu Pogba ambaye hata muda wa kipindi cha pili, ambao man utd walicheza vizuri hakuonekana!!?

Leo kazingua
 
Reactions: PNC



kizuri hakununuliwa kwa ajili ya kucheza na manchester city kuna game zaid ya 34 ikiwa game moja inaweza kutoa umahiri wa mchezaji basi wakina ashavin wangekuwa mbali
 
kizuri hakununuliwa kwa ajili ya kucheza na manchester city kuna game zaid ya 34 ikiwa game moja inaweza kutoa umahiri wa mchezaji basi wakina ashavin wangekuwa mbali
 
Pogba hastahili thamani ya pound million 100,ni mchezaji wa kawaida tu
Kumbuka Man City walikuwa na viungo wengi wanaocheza karibu karibu.

Wakati Man U walikuwa na viungo wachache wanaocheza mbali mbali. Angalia Space iliyokuwepo kati ya Fellaini, Pogba, Micki, Lingard na Rooney utaelewa.

Wenzake walim isolate peke yake kati ya dimba, ikawa inabidi alazimike ku drible ili kuwafikia. Hiyo ilimfanya kuchoka mapema.

Mpira ni ushirikiano, ndicho walichotuonyesha City leo. Huwezi kufanikiwa kwa kutumia mchezaji mmoja mmoja.

At least Herrera aliongeza balance pale katikati kabla ya Pep kuua game kwa kumuongeza Fernando.

Mou anapaswa aanze kumuamini Herrera ili kumsaidia Pogba, Fellaini ni mrefu, ana maguvu, lakini hawezi ku cover space kubwa kusaidia wenzake.

Pia, ni muda muafaka kumchezesha Smalling kwa sababu Blind ameanza kurudia makosa ya last season, si mzuri kukaba (timu ikiwa under pressure).

Pogba "The Slow but Sure man"

Still nina Imani, ndo game zinaanza.
 
Kwa hyo mechi ya mcty sio mechi au??..... Kweli hyo hela ilitakiwa kupeleka kwenye maendeleo [emoji1] [emoji1]
 
kelvin de brune world class,silva world clas,aguero world class kati ya hao mwaka huu mmoja atakuwa mchezaji bora wa mwaka
 
Paul pogba...ni mzur kwa mfumo wa 4-3-3....huko ndio mfumo wa Italy... Sasa 4-4-2...awezi kufanya vizur... Inabidi...mourino abadili mfumo...hata ufaransa...walishindwa kumtumia vizur kwenye Euro.... Ni mzur sana akiwa nyuma ya washambuliaji wawil...upande wa kushoto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…