SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Sidhani kama kosa ni hilo!!
Tatizo ni Mourinho "ambae ni kocha wa KUSAJILI kila club aendayo" na siyo kocha wa kufundisha mpira. Hajui mpira, anataka mafanikio ya fasta kupitia wachezaji bora. Laiti, Mourinho angepewa kikosi cha Man City na Pep Gurdiola akapewa kikosi cha Man Utd walai wangekula 7!!
Angalia show GAME ya Man City, kama vile SAMBA ya SPAIN imehamia ENGLAND. Tena kwa kikosi cha vijana wadogo sana na wasio na majina makubwa. Pep huimiza utumiaji wa AKILI (Kichwa) wakati Mourinho huimiza kutumia NGUVU.
Gang Chomba atasuuzika sana na maneno yako haya yenye ukweli
Leo ndio nimejua kwa nini Guardiola hataki wachezaji wazito
Jose sio tactician mzuri na imedhihirika leo