Pogba ni mtumishi hewa

Pogba ni mtumishi hewa

Sidhani kama kosa ni hilo!!
Tatizo ni Mourinho "ambae ni kocha wa KUSAJILI kila club aendayo" na siyo kocha wa kufundisha mpira. Hajui mpira, anataka mafanikio ya fasta kupitia wachezaji bora. Laiti, Mourinho angepewa kikosi cha Man City na Pep Gurdiola akapewa kikosi cha Man Utd walai wangekula 7!!
Angalia show GAME ya Man City, kama vile SAMBA ya SPAIN imehamia ENGLAND. Tena kwa kikosi cha vijana wadogo sana na wasio na majina makubwa. Pep huimiza utumiaji wa AKILI (Kichwa) wakati Mourinho huimiza kutumia NGUVU.

Gang Chomba atasuuzika sana na maneno yako haya yenye ukweli
Leo ndio nimejua kwa nini Guardiola hataki wachezaji wazito
Jose sio tactician mzuri na imedhihirika leo
 
Duuuu! Tusio fuatilia habari za mipira tukazani huyo pogba hayupo Man Utd Ila analipwa mshahara, kumbe hupo bwana. Sasa nawashauri mwandike "POGBA AMEGUSHI VYETI VYA USTRIKER ".at least itasound.
 
Dah! We jamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuu! Tusio fuatilia habari za mipira tukazani huyo pogba hayupo Man Utd Ila analipwa mshahara, kumbe hupo bwana. Sasa nawashauri mwandike "POGBA AMEGUSHI VYETI VYA USTRIKER ".at least itasound.

hyo pogba sio striker,ni mildfielder.kwel ww sio mfuatiliaj wa mpira.
 
Pogba ni mzur timu ikiwa inashambulia sasa leo walikua wanashambuliwa sana ndio maana hakuonekana.....
 
Duuuu! Tusio fuatilia habari za mipira tukazani huyo pogba hayupo Man Utd Ila analipwa mshahara, kumbe hupo bwana. Sasa nawashauri mwandike "POGBA AMEGUSHI VYETI VYA USTRIKER ".at least itasound.

Mkuu Pogba ni kiungo na si mshambuliaji
 
Kumbuka Man City walikuwa na viungo wengi wanaocheza karibu karibu.

Wakati Man U walikuwa na viungo wachache wanaocheza mbali mbali. Angalia Space iliyokuwepo kati ya Fellaini, Pogba, Micki, Lingard na Rooney utaelewa.

Wenzake walim isolate peke yake kati ya dimba, ikawa inabidi alazimike ku drible ili kuwafikia. Hiyo ilimfanya kuchoka mapema.

Mpira ni ushirikiano, ndicho walichotuonyesha City leo. Huwezi kufanikiwa kwa kutumia mchezaji mmoja mmoja.

At least Herrera aliongeza balance pale katikati kabla ya Pep kuua game kwa kumuongeza Fernando.

Mou anapaswa aanze kumuamini Herrera ili kumsaidia Pogba, Fellaini ni mrefu, ana maguvu, lakini hawezi ku cover space kubwa kusaidia wenzake.

Pia, ni muda muafaka kumchezesha Smalling kwa sababu Blind ameanza kurudia makosa ya last season, si mzuri kukaba (timu ikiwa under pressure).

Pogba "The Slow but Sure man"

Still nina Imani, ndo game zinaanza.
Nakubaliana na ww mkuu, pogba akae 6 af herera 8, fellain mzito mno, halaf smalling na baily pale nyuma
 
Nakubaliana na ww mkuu, pogba akae 6 af herera 8, fellain mzito mno, halaf smalling na baily pale nyuma
Yap, Pogba alikuwa mzuri sana kule Juve alipocheza namba 10 mbele ya akina Marchisio. Hata Morgan anaweza kucheza hiyo namba 6, Pogba akasogea nyuma ya Ibra ... Rooney hana kasi tena, apumzike, abaki kusaidia.
 
Back
Top Bottom