Pogba ni mtumishi hewa


Kucheza karibu karibu ndio nin?sijaona hiyo isolation unayoisema yeye kama box to box midfielder kazi yake ni kukaba at the same time ku initiate mashambulizi hizo kazi zilimshinda
Sijaelewa hapo una maana herera amreplace Felain?hiv unajua tofaut ya DM na AM?
 
Barcelona imehamia uingereza au? Maana si kwa mipasi ile yaan kampa kampa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amadoli man city n noma. Wamepiga pasi nyingi sana
 
Yap, Pogba alikuwa mzuri sana kule Juve alipocheza namba 10 mbele ya akina Marchisio. Hata Morgan anaweza kucheza hiyo namba 6, Pogba akasogea nyuma ya Ibra ... Rooney hana kasi tena, apumzike, abaki kusaidia.
Nakubaliana na wewe mkuu. Pogba acheze namba 10
 
Geometry kaka hao man united wamechemsha. Hawakosagi sababu. Kama wenzao wamecheza pasi fupi fupi nao kwann wasicheze pasi fupi? Kiukweli Pogba kapotezwa vbaya nafasi ya kiungo
 
Reactions: AHA
Barcelona imehamia uingereza au? Maana si kwa mipasi ile yaan kampa kampa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah man u wakiwa na pasi 103 city walikuwa na 197 mkononi! Tofauti ilikuwa kuwa sana na city walikuwa na chances kibao ambazo hawakuzitumia vizuri! Walahi Sergio Kun Aguero angekuepo man u wangechapwa almost 6-1!! Mourinho leo tungesikia anaenda kuinoa Tp mazembe! Angetimuliwa ulaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…