herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
kaka simba ni kitu cha upumbavu?Acha kuifananisha man City na vitu vya kipumbavu wew
ni kweliGadiola sio mtu mzuri kamfanya pogba kaoneka kama felaini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio leo tu, ataendelea kuzingua siku zote. Lile jinamizi la kiasi cha pesa alichonunuliwa nacho litaendelea kumpa shida zaid ya zile anazopata BALE pale Madrid....mourinho analaumiwa ndio
Lakini utaachaje kumlaumu Pogba ambaye hata muda wa kipindi cha pili, ambao man utd walicheza vizuri hakuonekana!!?
Leo kazingua
akiba ya maneno ni muhimu sna mech zaid ya 34 bado hazijachezwa uchambuz wa tz bana
Kufungwa na kucheza mpira mbovu mkiwa na mchezaji ghari dunianiKisa n kufungwa ama?
Hiyo pesa imewauma utadhani imetoka mifukoni mwenu.....mwacheni ndiyo ameshakuwa ghari penda usipende mwenzio kashavunja rekodi duniani.Kufungwa na kucheza mpira mbovu mkiwa na mchezaji ghari duniani
Roho inawauma kisa Manchester wamenunua mchezaji ghari wakati wao wameshindwa kufanya usajili kama huo.Anafungwa madrd na ana mastaa kbao...soka co karata
Sio leo tu, ataendelea kuzingua siku zote. Lile jinamizi la kiasi cha pesa alichonunuliwa nacho litaendelea kumpa shida zaid ya zile anazopata BALE pale Madrid....