Pogba ni mtumishi hewa

Pogba ni mtumishi hewa

Tatizo Jose alipiga cha juu wakati anamsajili Pogba akawaambia mabose wake anathamano 100 pound mill kumbe nyingine kaweka kwa mfuko
 
mourinho analaumiwa ndio
Lakini utaachaje kumlaumu Pogba ambaye hata muda wa kipindi cha pili, ambao man utd walicheza vizuri hakuonekana!!?

Leo kazingua
Sio leo tu, ataendelea kuzingua siku zote. Lile jinamizi la kiasi cha pesa alichonunuliwa nacho litaendelea kumpa shida zaid ya zile anazopata BALE pale Madrid....
 
Anafungwa madrd na ana mastaa kbao...soka co karata
 
Kufungwa na kucheza mpira mbovu mkiwa na mchezaji ghari duniani
Hiyo pesa imewauma utadhani imetoka mifukoni mwenu.....mwacheni ndiyo ameshakuwa ghari penda usipende mwenzio kashavunja rekodi duniani.
 
Anafungwa madrd na ana mastaa kbao...soka co karata
Roho inawauma kisa Manchester wamenunua mchezaji ghari wakati wao wameshindwa kufanya usajili kama huo.
 
Pogba anajua jamani, hata mchezoni alienekana yeye sana japo walipotea bt yeye hakupotea, assist nyingi alitoa bt kadabra alikuwa anashangaa tu pale. In short Man u walipata nafasi nying bt hawakuzitumia vizuri n overconfidence iliwaua, nothing to say abt Pogba,he's still on map.
 
n world clas player ata kama acngeenda mn utd....angeenda tim yyte...stil he z d best
 
Ndio kwanza mechi ya Pili ah Tuacheni na sisi tupumue msimu wetu huu... Tunataka makombe yetu...
 
Sio leo tu, ataendelea kuzingua siku zote. Lile jinamizi la kiasi cha pesa alichonunuliwa nacho litaendelea kumpa shida zaid ya zile anazopata BALE pale Madrid....


angeanza kuharibu mechi na southmpton pia siku hazifanani ndo mana kuna wachezaji 11 kama hao wote walipotea yeye anachezaji sasa
 
Pogba anacheza kwa pressure sana,anataka kuuonyesha ulimwengu kua alistahili hiyo bei aliyonunuliwa,na macho yote yanamtizama yeye tu! Mimi sio shabiki wa Man u but i salute Zlatan Ibrahimovich.
 
Back
Top Bottom