George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Acha uongo wewe...Misimu ya 2017 -2018 na 2018-2019 pogba kampita debruyne total goals na assists kwenye ligi.
Umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora?
Ahahaaaaah...Pogba pia alikuwa injured.
Mechi walizocheza pogba total alicheza 52 debruyne 50. Alimzidi mechi 2 tu ila pogba alimpita assists za kutosha na magoli ya kutosha. Goal and assist per minute pogba pia alimpita.
Bado hujanijibu umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora kuliko pogba?
Acheni kumnajisi KDB na takataka za ajabuajabuwanajukwaa habari za leo?
huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko watu hawana akili nzuri.
leo nmepita nimeona watu wanasema pogba ni bora kuliko KDB (Assist Master)
Nimeshangaa sana kwakweli ivi pogba ana tuzo gani binafsi anayomzidi KDB?
Au Pogba ana kipi cha maaana ambacho dunia ya soccer itamkumbuka nacho na anachojivunia ukiacha kubadirisha styles za kunyoa?
naomba ndugu zangu mtoe mawazo yenu katika hili.
DuuuhHuyu KDB ndiyo Nguchiro wa wapi hata afananishwe na Pogba?
Kijana acha kuvuta bangi usimfananishe KDB na pogba nikumkosea KDB heshima.KDB ni mchezaji mwenye consistent performance na pia anaperform mechi kubwa huyo mwengine ni homa ya vipindi.
KDB ni mchezaji anayeichezea timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya Manchester City...Huyu KDB ndiyo Nguchiro wa wapi hata afananishwe na Pogba?
Inaonekana sio mfuatiliaji mzuri sana wa habari za kandanda mkongwe...Wolfsburg alifanya kitu gani lete takwimu, usiandike kwa mihemko