Pogba VS KDB who is the best?

Pogba VS KDB who is the best?

Misimu ya 2017 -2018 na 2018-2019 pogba kampita debruyne total goals na assists kwenye ligi.
Umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora?
Acha uongo wewe...
2017-2018 De Bruyne ndio mchezaji aliyekuwa na assists nyingi kuliko mchezaji yeyote kwenye EPL..!
 
Pogba pia alikuwa injured.
Mechi walizocheza pogba total alicheza 52 debruyne 50. Alimzidi mechi 2 tu ila pogba alimpita assists za kutosha na magoli ya kutosha. Goal and assist per minute pogba pia alimpita.
Bado hujanijibu umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora kuliko pogba?
Ahahaaaaah...
Kwani ni lazima udanganye mkongwe..?
 
wanajukwaa habari za leo?

huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko watu hawana akili nzuri.

leo nmepita nimeona watu wanasema pogba ni bora kuliko KDB (Assist Master)
Nimeshangaa sana kwakweli ivi pogba ana tuzo gani binafsi anayomzidi KDB?

Au Pogba ana kipi cha maaana ambacho dunia ya soccer itamkumbuka nacho na anachojivunia ukiacha kubadirisha styles za kunyoa?

naomba ndugu zangu mtoe mawazo yenu katika hili.
Acheni kumnajisi KDB na takataka za ajabuajabu
 
Wolfsburg alifanya kitu gani lete takwimu, usiandike kwa mihemko
Inaonekana sio mfuatiliaji mzuri sana wa habari za kandanda mkongwe...
Sikuwekei stats,ila nakuambia tu KDB alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi ya Ujerumani akiwa na Wolfsburg...
KUMBUKA wakati huo ligi ya Ujerumani Ilikuwa na watu kama Robben,Riberry na Lewandowski tena wakiwa kwenye ubora wao...
Alifanya nini kuwazidi hao watu?,fuatilia mwenyewe...
 
Back
Top Bottom