Pogba VS KDB who is the best?

Pogba VS KDB who is the best?

Sema nn kdb kamzidi pogba acha kuongea kwa mihemko toa facts.
Mimi nakwambia pogba misimu miwili iliopita kamzidi debryune magoli na assists. Kamzidi attempred assists kamzidi goal and assists per minute. Pogba alishaingia kwenye kikosi bora cha fifa debryune hajawai.
Wewe sema sasa debryune kamzidi nn pogba?
mchezaji bora EPL KDB kachukua nadhani pogback hamna kitu
 
Screenshot_2019-09-06-14-53-00-312_com.android.chrome.png

Hzo ni game nne zilizopita
 
mchezaji bora EPL KDB kachukua nadhani pogback hamna kitu
We jamaa its either hujui mpira au hufatilii mpira maana unaongea uongo mtupu.
Usifanye kila mtu humu ndani ni punguani.
Ni mwaka gani huo debryune kabeba epl player of the season??
Nimekuja kugundua nabishana na watu hata mpira hamfatilii.
Narudia tena nitajie kitu kdb alichomzidi pogba kwa facts
 
KDB msimu wake bora zaidi katika Career Yake ulikuwa ni wa 2017/18 ambapo uchezaji wa EPL kwa season hiyo alichukua Mo Salah.

2016/17 nadhani Player of the season alikuwa ni Harry Kane (I'm not sure If I'm right)

2018/19 KDB alikuwa injury

2019/20 ndiyo labda anaweza kigombania tena
 
Hawa wote wawil ni wakali tena sana. ila hapa Manchester United fans watasema Pogba ni bora kuliko KDB ndivyo hivyo hivyo kwa City fans watasema KDB ni bora. ila inategemea na siku. kuna siku KDB anaboronga na kunasiku Pogba anaboroga. ila wote ni wakali.
 
KDB msimu wake bora zaidi katika Career Yake ulikuwa ni wa 2017/18 ambapo uchezaji wa EPL kwa season hiyo alichukua Mo Salah.

2016/17 nadhani Player of the season alikuwa ni Harry Kane (I'm not sure If I'm right)

2018/19 KDB alikuwa injury

2019/20 ndiyo labda anaweza kigombania tena
nilikuwa nakuheshimu sana ila kwa hili la pogba nmekuona kama mwanamke wa Manchester United tu
 
Misimu ya 2017 -2018 na 2018-2019 pogba kampita debruyne total goals na assists kwenye ligi.
Umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora?
acha kudanganya.
2017/18 alikuwa KDB
2018/19 KDB alikuwa majeruhi karibia nusu msimu

2018/19

2018 19.png

2017.png

2016.png
 
Eti sope [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] fala sana wew umenikumbusha mbali mnooo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
KDB kaachwa mbali sana na pogba huyu pogba hivi nyie mnamchukuliaje. Huyu ni mmoja ya viungo bora sana kwa wakati huu huwezi mfananisha na KDB hata statistics tu ukiangalia huyo sope wenu kaachwa mbali sana. So mjadala ufungwe hapa jibu ndo hilo
 
Sosha anafanya yaleyale tuliokua tunayakataa kwa mou....kwanini anamchezesha dimba la chini
Sasa nani kakwambia ligi imeisha? Subiri msimu ukiisha uje tena na stats hizihizi.
Nikutaarifu tu sa hiv pogba anachezeshwa deep chini lakin bado ana assists 2 kdb now anachezeshwa free role city nk..all in all muda utasema na stats huwa hazidanganyi
 
nilikuwa nakuheshimu sana ila kwa hili la pogba nmekuona kama mwanamke wa Manchester United tu

Mimi sishabikii Manchester Ila ninaongea kwa only Pogba kwa kile ninachomuona nacho
 
Back
Top Bottom