Pogba wa jana sio huyu wa leo..

Pogba wa jana sio huyu wa leo..

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Tumpe mda, msiwe na hasira kiasi hiki,. Kama mauzo ya jezi mbona ameshawatengenezea pesa ya kutosha saana... Kwann leo mmebadilisha akili zenu ghafla... TUMPE MDA..
1474457156930.jpg
 
Kweli mwanadam ni mtu wa ajabu,unaanzaje ku mulaumu pogba na unamwacha kocha wake???
Namba yenyewe wanamchezesha 6,ni wachezaji wachache unaweza wabadilisha positions na waka perfomu vzr!.Lawama hz zimuangukie kocha kwa kushindwa kupanga kikosi
 
madrid tulifungwa Tano kwa bila na barc na Kikosi kilikua bora kabisa sembuse huyo mmoja tuu timu ikifungwa lawama kwake utadhani yeye ndio kipa,beki kiungo na forward..,man haijatulia yote wakikaa vizuri watashinda tuu...
 
Tabia hii humfanya mchezaji acheze kwa presha Kubwa sana na kupoteza umakini, kwakua anajua mashabiki wanahitaji matokeo mazuri kupitia kwake.... Alishawahi kusema Ronaldo Dilima..nilikua napata wakati mgumu sana kwakua Brazil ilikua ikiniangalia mimi tu kuleta matokeo mazuri... " sasa Pogba anajuta
 
Si kweli Pogba ni yule yule kitu kilicho badilika ni aina ya watu anaocheza nao felaini this guy is too slow hiyo inamlazimu Pogba ashuke achukue mipira kuanzia chini tofauti na alivyokua juve alikua na viungo wengi na wenye speed........ ILI POGBA ACHEZE LAZIMA TIMU IWE NA VIUNGO WAKABAJI WAKUTOSHA
 
Pogba hakustahili lile dau,huo ndio ukweli ambao watu wanaukwepa kuusema hadharani. Hata kama atacheza vile alivyokuwa anacheza,bado ile pesa ni kubwa sana tena sana,huyu alistahili 20m - 30m.
 
mtaani kwetu mwizi kaiba vibanio tu ila kaacha jezi ya MAN U
 
Back
Top Bottom