Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna

Ratiba zote mbili zimetoka Kombe la Shirikisho na Mabingwa ngazi ya vilabu Afrika.Yanga akitambulika kama Bingwa wa Tanzania na kuwekwa Kombe la Mabingwa na Simba akitambulika mshindi wa Azam Federation cup na kuwekwa Kombe la Shirikisho.

Simba alikata rufaa Fifa akidai yeye ndo bingwa huku akitaka point zake tatu dhidi ya Kagera Sugar zirudi ili wawe mabingwa na huku viongozi wao waliwapa moyo sana wapenzi wao kuwa timu yao ndio Bingwa.

Ila leo Caf wametegua kitendawili Je ni kwamba barua haikufika au?
 
Bado rufaa haijafika FIFA Zurich bado iko njiani hapo Afrika ya Kati.
 
Mi nawaza je zawadi ya mshindi wa pili walichukua au wameisusia mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…